Tathmini ya athari kwa mazingira na jamii (tamj)

dc.contributor.authorBaraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira
dc.date.accessioned2024-09-02T10:03:24Z
dc.date.available2024-09-02T10:03:24Z
dc.date.issued2019-08
dc.descriptionJaridaen_US
dc.description.abstractBomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) litasafirisha mafuta kutoka kwenye kituo cha mafuta, kilichopo Wilayani Hoima, nchini Uganda, kuelekea kwenye kituo cha kuhifadhia na kituo cha kupakia mafuta kwenye meli kwenda nchi za nje, vilivyopo kwenye rasi ya Chongoleani, kaskazini mwa mji wa Tanga katika Pwani ya Afrika Mashariki, Tanzania. Athari zinazoweza kutokana na mradi, faida na hasara kwa uchumi, jamii na mazingira nchini Tanzania zimefanyiwa tathmini na kuelezwa kwa kina katika nyanja mbalimbali zilizodhaniwa kuwa za thamani na muhimu katika jamii (kwa mfano, kudumisha njia za kujikimu). Mbinu za kuepuka au kupunguza athari zilizo mbaya zimeelezwa na baada ya hatua hizo kutekelezwa, athari zinazofikiriwa kubakia pia zimeelezwa. Taarifa ya Tathmini ya Athari za kimazingira na kijamii imeandaliwa kwa kuzingatia:en_US
dc.description.sponsorshipTOTAL, UNOC,COWIen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/904
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSpring Lodge, 172 Barabara ya Chester, Helsby, WA6 0AR, UKen_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectAthari ya Mazingiraen_US
dc.subjectJamiien_US
dc.titleTathmini ya athari kwa mazingira na jamii (tamj)en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
0999:02:2023.pdf
Size:
2.22 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections