Maelezo ya msingi kuhusu mti wa mlonge (Moringa Oleifera)
Loading...
Date
2000
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Bustani ya Tushikamane
Abstract
Moringa (Moringa spp.) maarufu kama Mlonge ni miongoni mwa miti muhimu kuliko yote duniani. Mti huu ukuao haraka hupandwa katika maeneo mengi na hutumika kama chakula cha binadamu, lishe ya mifugo, tiba mbadala na
kusafisha maji.
Description
Keywords
Moringa Oleifera, Mlonge