Kilimo cha Majani ya Malisho ya Mifugo
Loading...
Date
2022-09
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
SUA
Abstract
Wafugaji nchini Tanzania wametakiwa kuanza kulima majani aina ya JUNCAO yanayozalishwa katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kutokana na majani hayo kuonekana kuwa na faida nyingi kwa mifugo na uwezo wake wa kukua haraka na kuvumilia ukame na hivyo kupunguza changamoto za malisho wakati wa kiangazi na kumaliza migogogo ya wakulima na Wafugaji.
Description
Public Use-Tanzanian
Keywords
Kilimo cha Malisho ya Mifugo
Citation
https://sua.ac.tz/news/majani-ya-juncao-kuwa-suluhisho-la-malisho-ya-mifugo