Matumizi bora ya mbolea ya Minjingu kwenye kilimo cha mboga

dc.date.accessioned2018-02-23T12:49:03Z
dc.date.available2018-02-23T12:49:03Z
dc.date.issued2003
dc.description.abstractKipeperushi kinachoelezea mbolea ya Minjingu kama ni mbolea asilia ya kupandia. Mbolea hii inatokana na miamba inayochimbwa katika eneo la Minjingu mkoani Manyara ambayo husagwa na kufungashwa kwenye kiwanda kilichojengwa katika eneo hilo. Mbolea ya Minjingu ina kirutubisho cha mimea aina ya fosiforasi kati ya asilimia 12.3-13.2. Tofauti na mbolea nyingine za kupandia zenye madini ya fosiforasi kama vile TSP na DAP ambazo huagizwa nje ya nchi hivyo kugharimu fedha nyingi za kigeni, mbolea hii inayopatikana hapa nchini bei yake ni nafuu.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/118
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKituo cha Utafiti wa Kilimo, Mikocheni & Kituo cha Ut afiti wa M azao Uyoleen_US
dc.subjectMboleaen_US
dc.subjectMinjinguen_US
dc.subjectBustanien_US
dc.subjectArdhien_US
dc.titleMatumizi bora ya mbolea ya Minjingu kwenye kilimo cha mbogaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Matumizi_bora_ya_Mbolea_ya_minjingu.pdf
Size:
124.24 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: