Kituo cha Taifa cha uhimilishaji (NAIC)
| dc.contributor.author | WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI | |
| dc.date.accessioned | 2026-09-08T08:47:35Z | |
| dc.date.available | 2026-09-08T08:47:35Z | |
| dc.date.issued | 2024 | |
| dc.description | Kipeperushi | |
| dc.description.abstract | Uhimiishaji ni njia pekee ambayo inabadilisha uzao wo wanyama kwa haraka zaidi. Hii ina maanisha kwamba, kama mfugaji ana ng'ombe wa kienyeji ni rahisi kumtungisha mimba ya dume wa kisasa wa aina inayofaa kwenye eneo lake na hivyo kupata chotara ambaye atayamudu mazingira husika. Ni njia sahihi ya kuzuia kuenea kwa magonjwa ya kizazi kama vile Ugonjwa wa kutupa mimba (Brucellosis)., Vibriosis, Leptospirosis na Trichomoniasis. Magonjwa haya yanaenezwa kwa ngo’mbe dume aliyeathirika kumpanda ng’ombe jike. Magonjwa haya huleta hasara kubwa kwa wafugaji hasa ya kukosa uzao wa ng’ombe kwa wakati uliotarajiwa. Mfugaji anaepuka gharama na hatari za kufuga madume. Madume wa ng'ombe wa kisasa huwa ni wakali na wakubwa, wanahitaji malishao mengi na uangalifu mkubwa wakati wa kumfuga. Kurahlsisha uchaguzi wa dume linalotakiwa kuwekwa kama dume la mbegu. Kwa kutumia njia ya uzalishaji kwa chupa wazalishaji (breeders) wanarahisishiwa kumchagua dume (replacement bull) kwa sababu mbegu za madume zinakuwa zimeshatumika kwa ngombe wengi kuliko kwa kutumia njia ya kawaida. | |
| dc.identifier.uri | https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/1036 | |
| dc.language.iso | other | |
| dc.publisher | WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI | |
| dc.subject | Ng`ombe | |
| dc.subject | Uhimilishaji | |
| dc.title | Kituo cha Taifa cha uhimilishaji (NAIC) | |
| dc.type | Other |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- Kituo cha taifa cha uhimilishaji (NAIC) USA RIVER.pdf
- Size:
- 1.02 MB
- Format:
- Adobe Portable Document Format
License bundle
1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
- Name:
- license.txt
- Size:
- 1.71 KB
- Format:
- Item-specific license agreed upon to submission
- Description: