Kilimocha kunde
Loading...
Date
2008-06
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
IIT
Abstract
Kunde ni zao jamii ya mikunde. Faida kubwa ya zao hili ni:
• Chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama.
• Mabaki ya mmea wa kunde ni chakula kizuri cha mifugo.
• Hurutubisha udongo.
Description
Kunde
Keywords
kilimo cha Kunde
Citation
https://www.n2africa.org/sites/default/files/Cowpea%20Brochure%20Tanzania.pdf