Faida za chai katika kupambana na magonjwa
Loading...
Files
Date
2024-05-30
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Shirika la chakula duniani
Abstract
Kuna faida za kiafya za kunywa chai ambazo labda huzijui. Chai ni mojawapo ya vinywaji vinavyotumiwa sana duniani na imekuwa ikitumiwa kwa karne nyingi. Kuna aina tofauti za chai; nyeusi, kijani, nyeupe na rangi zingine. Kila moja ina ladha yake ya kipekee na sifa na aina ya jani la chai na usindikaji wake.Mei 21 pia huadhimishwa kama Siku ya Chai Duniani. Je, chai ina faida gani kwa afya ya binaadamu?
Description
Jarida
Keywords
Magonjwa, Chai, Vyakula