Ufugaji bora wa samaki 2025
| dc.contributor.author | International Tanfeeds | |
| dc.date.accessioned | 2026-03-16T07:40:35Z | |
| dc.date.available | 2026-03-16T07:40:35Z | |
| dc.date.issued | 2025 | |
| dc.description | Jarida | |
| dc.description.abstract | MBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji wa samaki. Chanzo endelevu cha mtaji kwa ajili ya mradi. Hulka ya uvumilivu na kuthubutu. Tathmini ya soko la bidhaa za samaki. kujipatia maarifa ya msingi ya ufugaji wa samaki | |
| dc.identifier.uri | https://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/968 | |
| dc.language.iso | other | |
| dc.publisher | International Tanfeeds LTD | |
| dc.subject | Samaki | |
| dc.subject | Eneo la kufugia samaki | |
| dc.subject | Bwawa la Samaki | |
| dc.subject | Upandikizaji mbegu za samaki | |
| dc.title | Ufugaji bora wa samaki 2025 | |
| dc.type | Other |