Kilimo bora cha Mpunga
Loading...
Date
2018-07
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kilimo Tanzania Blog
Abstract
Mpunga ni kati ya mazao ambayo yanalimwa sana dunian na pia ni kati ya mazao ambayo
yanapendwa sana na watu kutokana na chakula chake kuwa kitamu.,
leo nitakupa muongozo wa jinsi ya kulima mpunga kitaalam ili kuvuna mazao mengi yenye thaman
siku zote maandalizi ya shamba vizuri ni jambo la msingi kwa kua bila kuandaa shamba lako vizuri
huwezi kuvuna mazao yalio na ubora.
Pia kunahatu za muhimu ambazo lazma mtu uzifate ili kufanyikiwa kupata mazao bora
Description
Keywords
Mpunga, Mchele