Soya kwa lishe bora: Virutubishi na matayarisho yake kwa mapishi mbalimbali

dc.contributor.authorLaswai, H. S
dc.contributor.authorKulwa, K. B. M
dc.contributor.authorBallegu, W. R .W
dc.contributor.authorSilayo, V. C. K
dc.contributor.authorIshengoma, C. G
dc.contributor.authorMakindara, J. A
dc.contributor.authorMpagalile, J. J
dc.contributor.authorRweyemamu, C. L
dc.date.accessioned2020-10-07T06:24:51Z
dc.date.available2020-10-07T06:24:51Z
dc.date.issued2005-06
dc.description.abstractKatika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania, tatizo la utapiamlo limekuwa tatizo sugu. Kiwango cha wanaosumbuliwa na tatizo hili katika nchi yetu kama asilimia thelatini ya watu wote. Jambo hili si la kufumbia macho kwa maana nguvu kazi kubwa ya nchi inapotea. Tatizo hili pia linasababisha watoto wengi mashuleni kushindwa kufanya vizuri katika masomo yao. Kwa mantiki hii maendeleo ya nchi yanafifia kiuchumi na kielimu pia. Kujikwamua katika tatizo hili sio jambo rahisi. Hata hivyo, tunaamini kuwa, bila hata msaada kutoka nje ya kaya, kaya nyingi zinao uwezo wa kujinasua nalo. Kikubwa ambacho wanakikosa ni taaluma katika kutumia baadhi ya malighafi waliyo nayo kiutaalamu kuwaondolea kero hii. Zao la soya limesaidia sehemu nyingi duniani kuondoa utapiamlo, lakini katika Tanzania zao la soya halijatumika kikamilifu kwa sababu za kukosa taaluma za namna ya kulisindika na pia mapishi mbali mbali yanayotokana nalo. Kijitabu hiki ni juhudi makusudi za wataalamu wachache walioguswa na hili tatizo na kuamua kuwasaidia wale wengi wasio na hiyo taaluma kutangaza na kuhamasisha kilimo cha soya sio tu kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na hivyo kuboresha afya bali pia kutumia zao hili hili kupunguza au kuondoa umaskini katika kaya. Azma ya juhudi hizi ni kuona Tanzania nzima ikinufaika na hivyo kupunguza asilimia ya wenye utapiamlo na maskini katika taifa letu.en_US
dc.identifier.isbn9987-422-28-4
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123456789/524
dc.language.isootheren_US
dc.publisherFOCAL - SUAen_US
dc.relation.ispartofseriesFOCAL;6 -2005
dc.subjectSoyaen_US
dc.subjectMikundeen_US
dc.subjectLisheen_US
dc.titleSoya kwa lishe bora: Virutubishi na matayarisho yake kwa mapishi mbalimbalien_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
soya0001.pdf
Size:
12.54 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections