Teknolojia za hifadhi usindikaji, na matumizi ya mazao ya mikunde baada ya kuvuna

dc.contributor.authorJamhuri ya Muungano wa T anzania, Wizara ya Kilimo na Chakula
dc.date.accessioned2022-04-12T11:33:03Z
dc.date.available2022-04-12T11:33:03Z
dc.date.issued2003-08-07
dc.description.abstractMazao jamii ya mikunde yanayolimwa hapa nchini ni maharage, soya, kunde na mbaazi. Sifa kubwa ya mazao haya ni kuwa na kiwango kikubwa cha protini nyingi na uwezo wa kuongeza naitrojeni kwenye udongo. Uzalishaji wa mazao haya ni wastani wa tani 490,000 kwa mwaka. (Takwimu, Wizara ya Kilimona Chakula) Hata hivyo kiasi kikubwa cha mazao hayo hupotea baada ya kuvuna. huu husababishwa na matumizi ya mbinu duni katika uvunaji, ukaushaji, usafirishaji, usindikaji na hifadhi. Kiasi kikubwa cha mikunde hupotea wakati wa kuvuna kutokana na kuchelewa kuvuna ambapo mapodo hupasukia shambani. Hali hii huruhusu mashambulizi ya wadudu waharibifu kwa urahisi na punje nyingi kuachwa shambani. Katika uvunaji, mazao mengi hupotea kwani mbinu zinazotumiwa na wakulima bado ni duni na za kuchosha, hivyo mazao mengi huachwa shambani.en_US
dc.description.sponsorshipMakanza Creative Art (MCA)en_US
dc.identifier.isbn9987 - 400 - 02 - 7
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/589
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWizara ya Kilimo na Chakula.en_US
dc.subjectHifadhi ya mazao ya mikundeen_US
dc.subjectKilimo cha Maharageen_US
dc.titleTeknolojia za hifadhi usindikaji, na matumizi ya mazao ya mikunde baada ya kuvunaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
usindikaji_mazao_ya_Mikunde.pdf
Size:
2.7 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: