Nakala ya ufugaji wa nyuki (1)

dc.contributor.authorGregory, P
dc.date.accessioned2018-02-23T12:55:59Z
dc.date.available2018-02-23T12:55:59Z
dc.date.issued2009
dc.description.abstractImetambulika ya kuwa ufugaji wa nyuki inaweza kuwapa watu wa mashambani njia ya kujipatia mapato zaidi. Ijapokuwa ufugaji wa nyuki sio rahisi kila wakati. Nyuki wanaweza kudunga mara nyingi bila kutarajiwa. Uvunaji wa asali inategemea mbinu nyingi kama vile hali ya anga na kwa kupata soko. Asali ya hali ya juu lazima uwe na ubora zaidi. Nta pia ni bidhaa ya muhimu na wakati mwingine huaribiwa. Mwongozo huu wa shambani imetengenezwa ili kusaidia wakufunzi wanaofanya kazi katika Afrika kusini mwa Sahara. Picha yenye rangi ziko na maneno machache. Nakala hii pia inaeleza mbinu rahisi zinazohitajika kuanzisha biashara ya ufugaji wa Nyuki. Pia inatupatia mawazo au mbinu zinazohitajika kuanzisha ufugaji wa Nyuki kwa kutengeneza vyombo vyao wenyewe wakitumia vifaa vya kiasili. Natumaini kuwa hii itasaidia watu kuanzisha ufugaji wa nyuki kwa bei nafuu na labda kufanya majaribio na vitu vipya.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/119
dc.language.isootheren_US
dc.publisherThe Food and Environment Research Agency - FERAen_US
dc.subjectNyukien_US
dc.subjectAsalien_US
dc.subjectNtaen_US
dc.subjectUfugajien_US
dc.titleNakala ya ufugaji wa nyuki (1)en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Nakala ya Ufugaji wa Nyuki (Swahili).pdf
Size:
12.14 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections