Machipukizi Zaidi Uzito Mkubwa wa Miwa
No Thumbnail Available
Date
2023
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
YARA
Abstract
Faida ya Kutumia Programu ya YARA ya Mbolea kwa Zao la Miwa huongeza idadi ya machipukizi, na inachochea ukuaji wa mizizi mingi, Inaongeza ukuaji wa mmea na ukijani wa majani, pia Inaongeza urefu wa pingili na uzito na Husaidia utengenezaji wa sukari nyingi (sucrose).
Description
Kipeperushi
Keywords
Miwa, Mbolea