Ufugaji samaki kwenye vizimba.

dc.contributor.authorIdara ya ukuzaji viumbe maji.
dc.date.accessioned2023-02-27T08:39:46Z
dc.date.available2023-02-27T08:39:46Z
dc.date.issued2021
dc.description.abstractIli kuendana na Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2016 - 2021) inayosisitiza Tanzania ya Viwanda, inashauriwa ufugaji wa samaki ufanyike kwa kutumia teknolojia za kisasa zenye tija kwa ajili ya kuongeza uzalishaji. Ufugaji wa samaki kwa kutumia mabwawa ndiyo njia iliyozoeleka na inayotumiwa na wananchi wengi. Hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba katika maji ya asili. Mabadiliko haya kwa kiasi kikubwa yametokana na mabadiliko ya tabianchi (hususani upungufu wa mvua), uwepo wa teknolojia ya vizimba na wingi wa mavuno yanayotokana na ufugaji wa samaki kwenye vizimba.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/669
dc.publisherWizara ya Mifugo na Uvuvien_US
dc.subjectVizimbaen_US
dc.subjectUfugaji wa samakien_US
dc.titleUfugaji samaki kwenye vizimba.en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
-KIPEPERUSHI - UFUGAJI WA SAMAKI KWENYE VIZIMBA.pdf
Size:
150.94 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Main article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections