Zifahamu mbolea za asili na matumiz yake kwaajili ya kuotesha mazao

Loading...
Thumbnail Image

Date

2020-12-11

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Abstract

Wapendwa wasomaji wa makala za kilimo katika blog yetu ya Kilimo bora leo tumekuandalia makala nzuri juu ya Mbolea . Mbolea kwa maana ya kueleweka kwa haraka ni kitu chochote kinacho ongeza virutubisho muhimu kwenye udondo ambavyo hutumiwa na mimea ili kuboresha ukuaji wa mimea na upatikanaji wa mavuno mazuri. Kuna aina mbalimbali za mbolea kama mbolea za asili Mbolea za asili mfano, Samadi, Mboji, mbolea za kijani na  Mbolea za viwandani mfano DAP, YaraMila

Description

Mbolea za asili

Keywords

Zifahamu mbolea za asili na matumizi yake kwa ajili ya kuotesha mazao

Citation

ttphs://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/makala/mbegu-ya- thahabu/uzuri-na-ubaya-wa-mbolea-za-asili-2831696