Fish Handling, Quality and Processing: Training and Community Trainers Manual

dc.date.accessioned2017-12-22T11:24:53Z
dc.date.available2017-12-22T11:24:53Z
dc.date.issued2012
dc.description.abstractUvuvi ni moja ya raslimali muhimu inayoongezeka ambayo nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika zinayo kwa ajili ya usalama wa chakula, maisha ya watu na kukua kwa uchumi. Hata hivyo juhudi zinatakiwa kufanyika kuhakisha kuwa jinsi idadi ya watu inavyoongezeka katika nchi hizi ndivyo mahitaji ya chakula na ajira yanavyoongezeka, faida zinazotokana na raslimali ya uvuvi zitalindwa kupitia usimamizi endelevu na uongeza thamani. IOC iliongoza mpamgo wa utekelezaji wa malengo ya uvuvi Kikanda kwa ajili ya Kanda ya ESA - I0 (IRFS) {SMARTFISH} iliyozinduliwa February 2011 ikiwa na malengo ya kuongeza viwango vya Maendeleo ya jamii, uchumi, mazingira na mahusiano ya kikanda katika Ukanda huu kupitia uvunaji endelevu wa raslimali ya uvuvi. Kufanikisha mpango huu ni kuainisha mikakati ya kikanda na kuimarisha mahusiano ya kikanda hasa katika ubia na COMESA, EAC, and IGAD. Hatimaye watakaofaidika ni wavuvi na jamii ya watu wanaoishi katika ukanda wa pwani na wakazi wengi waliopo nchi za Burundi, Comoros, Djibouti, Democratic Republic of Congo, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Madagascar, Malawi, Mauritius, Rwanda, Seychelles, Somalia, Sudan, Swaziland, Tanzania, Uganda, Zambia na Zimbabwe.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/75
dc.publisherCommission De L'ocean Indienen_US
dc.relation.ispartofseriesSmart Fish Working paper;005
dc.subjectSamakien_US
dc.subjectBaharien_US
dc.subjectBahari ya Hindien_US
dc.subjectMauritiusen_US
dc.subjectUchakatajien_US
dc.titleFish Handling, Quality and Processing: Training and Community Trainers Manualen_US
dc.title.alternativeuhudumiaji, Ubora na uchakatji wa samaki. Mwongozo wa mafunzo kwa wakufunzi wa jamii, mpango wa kamisheni ya Bahari ya Hindi/ Programu ya ”SmartFish”, Mauritius.en_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Fish handling - training manual.pdf
Size:
3.2 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections