Udongo na umuhimu wa kupima udongo

dc.contributor.authorMussa, D
dc.date.accessioned2018-09-27T07:08:56Z
dc.date.available2018-09-27T07:08:56Z
dc.date.issued2018-07
dc.description.abstractLeo tunakwenda kujifunza kuhusu Udongo, aina za udongo, virutubisho vilivyopo kwenye udongo pamoja na upimaji wa udongo. Udongo ni nini? Udongo ni tabaka juu ya ardhi ambalo hufanya kazi kama chombo cha kukuzia mimea. Udongo hujengwa kutokana na shughuli zinazoendelea za hali ya hewa kulingana na vipengele kadhaa vya mazingira. Kwa sehemu kubwa kuundwa kwa udongo hutawaliwa na vipengele vikuu vitano: hali ya nchi (k.m. mvua, joto na upepo), mwinuko wa eneo (mahali eneo lilipo), viumbe hai (mimea na vijidudu), asili ya kitu kilichozalisha udongo (aina ya miamba na madini ambayo udongo unatokananayo) na muda.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/300
dc.language.isootheren_US
dc.publisherKilimo Tanzania Blogen_US
dc.subjectUdongoen_US
dc.subjectArdhien_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectMboleaen_US
dc.titleUdongo na umuhimu wa kupima udongoen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Udongo.pdf
Size:
185.12 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: