Umuhimu wa mazao ya misitu yasiyo miti kwa Uhakika wa chakula katika kaya za Tanzania

dc.contributor.authorKAJEMBE G.C.
dc.contributor.authorMWENDUWA M.I.
dc.contributor.authorMGOO J.S.
dc.contributor.authorRAMADHANI H.
dc.date.accessioned2026-03-16T07:39:51Z
dc.date.available2026-03-16T07:39:51Z
dc.date.issued2000-07
dc.descriptionJarida
dc.description.abstractUhakika wa chakula limekuwa ni suala muhimu katika mijadala mbalimbali ya sera za kuondoa umasikini katika nchi nyingi zinazoendelea. Licha ya ongezeko kubwa la uzalishaji wa chakula katika nchi mbalimbaliwatu milioni 790 katika nchi zinazoendelea wanakabiliwa na uhaba wa chakula. Pia watu milioni 34 walioko kwenye nchi zenye viwanda na nchi zenye maendeleo ya kati wana uhaba mkubwa wa chakula (FAO 1999a). Kama watu wote wasio na lishe ya kutosha wangewekwa pamoja, idadi yao ingekuwa kubwa kuliko bara lolote lile ukiacha bara la Asia (FAO 1999a).
dc.identifier.urihttps://www.mkulima.sua.ac.tz/handle/123456789/965
dc.language.isoother
dc.publisherCHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO
dc.subjectMAZAO YA MISITU
dc.subjectCHAKULA KATIKA KAYA
dc.subjectELIMU YA JINSIA
dc.titleUmuhimu wa mazao ya misitu yasiyo miti kwa Uhakika wa chakula katika kaya za Tanzania
dc.typeOther

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
UMUHIMU WA MAZAO YA MISITU YASIYO MITI KWA UHAKIKA WA CHAKULA KATIKA KAYA ZA TANZANIA FAO.pdf
Size:
246.6 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Jarida
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections