Ufugaji bora wa samaki katika maji matamu (yasiyo na chumvi)

Loading...
Thumbnail Image

Date

1994

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO)

Abstract

Kitabu hiki kimechapishwa na shirika la chakula na kilimo la umoja wa mataifa (FAO). Dhumuni ni kumpatia mkulima elimu juu ya ufugaji bora wa samaki katika maji matamu (yasio na chumvi) ikiwa ni pamoja na kufahamu namna bora ya uandaaji wa madimbwi ya maji ya samaki, utunzaji pamoja na uvunaji wa samaki. Elimu hii itampatia mkulima usitawi na kusitawisha uchumi wake kwa ujumla.

Description

Keywords

Kuvuna samaki, Kuwatunza samaki, Ujenzi kidimbwi

Citation

Collections