Kanuni za kilimo bora cha minazi
Loading...
Date
1992
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Dar Es Salaam University Press
Abstract
Ili kupata mnazi ulio bora mkulima ni lazima awe muangalifu wakati wa kupanda. Mche uliopandwa vibaya huchelewa kukua na hata wakati mwingine hufa. Mazingira kama vile aina ya udongo, kiasi cha mvua, joto, na mwinuko lazima yaangaliwe kwa makini kabla ya kupanda.
Description
Kanuni za kilimo bora cha Minazi
Keywords
KANUNI ZA KILIMO BORA CHA MINAZI
Citation
http://www.nzdl.org/cgi-bin/library?e=d-00000-00---off-0unescoen--00-0----0-10-0---0---0direct-10---4-------0-0l--11-en-50---20-help---00-0-1-00-0--4----0-0-11-10-0utfZz-8-10&cl=CL1.12&d=H`