Fahamu kuhusu kilimo cha pilipili mbuzi

dc.contributor.authorWIZARA YA KILIMO
dc.date.accessioned2022-01-25T11:02:49Z
dc.date.available2022-01-25T11:02:49Z
dc.date.issued2018
dc.description.abstractPilipili mbuzi ni zao ambalo linaweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima. Zao hili huitaji mwanga wa kutosha wa jua angalau kiasi cha masaa 6 kwa siku. Pilipili hustawi vizuri zaidi kwenye udongo wenye mbolea ya asili, undongo wenye unyevu nyevu ila usiwe wenye kutuamisha maji. Pilipili mbuzi huitaji udongo wenye pH 6.0 hadi 6.8, Ikiwa PH ni chini ya 6.0 ongezea madini chokaa kwenye udongo; Na ikiwa pH ya udongo imefka 8 onana na wataalam wa kilimo wakusahuri namna ya kuipunguza.en_US
dc.identifier.citationhttp://kilimohaitz.blogspot.com/2018/09/fahamu-kuhusu-kilimo-hai-cha-pilipili.htmlen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/568
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWIZARA YA KILIMOen_US
dc.relation.ispartofseriesTOLEO LA KWANZA;
dc.subjectKilimo, Pilipili mbuzi, Micheen_US
dc.titleFahamu kuhusu kilimo cha pilipili mbuzien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kilimo hai pilipili mbuzi.pdf
Size:
98.72 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
MAIN ARTICLE
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections