Lishe bora kwa kuku wa asili vijijini
Loading...
Date
2016
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo - ILRI
Abstract
Kuku wana mahitaji tofauti ya vyakula kulingana na umri (vifaranga, wanaokua, wakubwa) na uzalishajili (utagaji au unenepeshaji). Ili kuku waweze kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula cha kutosha na chenye ubora unaotakiwa kulingana na uhitaji wa miili yao. Lishe bora huzuia magonjwa mengi ya kuku hivyo ni muhimu kuku wapewe virutubisho muhimu. Ubora wa lishe ya kuku unaweza kuainishwa katika makundi ya vyaku
Description
Keywords
Kuku, Chakula, Lishe, Ufugaji, Chakula cha mifugo