Zuia upungufu wa wekundu wa damu
Loading...
Date
1994
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TFNC Readers series
Abstract
Mwili wa binadamu unahitaji maji na virutubisho vya aina mbali mbali. Virutubisho hivyo ni vile vya aina ya nishati, utomwili, madini na vitami-ni. Vyote hivi huhitajika katika kulinda na kujenga mwili ikiwa ni pamojana kutengeneza damu na kuupa mwili nguvu. Upungufu wa virutubishohivi ukitokea huweza kusababisha upungufu wa wekundu wa damu.
Description
Keywords
Damu, Wekundu, Upungufu