Kilimo bora cha ndizi
Loading...
Date
2019
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TARI
Abstract
Kilimo cha Migomba, ni kilimo ambacho kina manufaa mengi hasa kwa wakulima, hususani katika nchi za Afrika na ukanda wa jangwa la sahara.kitabu hiki kimejikita zaidi katika kueleza namna yakufanya palizi, umuhimu wa palizi,wakati mzuri wakufanya palizi,kuhudumia shina la mgomba.kuondoa matunguu na maua dume,kjuweka miega pamoja na kuchimba mitaro shambani.
Description
Keywords
Migomba,Ndizi, Shamba,Palizi,Samadi