Kilimo Bora cha Mihogo
Loading...
Date
2022-06-25
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele
Abstract
1.0 Utangulizi.
Muhogo ni miongoni mwa mazao makuu ya
chakula richini Tanzania. Inakadiriwa kuwa tani milioni lino (5) za muhogo mbichi zinazalishwa hapa nchini kwa mwaka. Kanda zinazoongoza kwa uzalishaji ni Kanda ya ziwa (37%), Kanda ya kusini (28%) na Kanda ya mashariki (12%).
Karibu 75% ya muhogo unaozalishwa hutumika kwa chakula. Muhogo huvumilia ukame na pia hufanya vizuri hata katika ardhi yenye rutuba hafifu «kilinganisha na mazao mengine.
Description
Keywords
Kilimo, Mihogo