Hifadhi ya Asili ya Amani Tanzania: Miradi ya Equator Wanavijiji na Maendeleo Himili ya Jamii

dc.date.accessioned2018-06-18T07:50:36Z
dc.date.available2018-06-18T07:50:36Z
dc.date.issued2012
dc.description.abstractHifadhi ya Asili ya Amani ilitangazwa kisheria na Serikali ya Tanzania katika gazeti la serikali mwaka 1997, ikiwa na lengo la kuihifadhi bayoanuwai ya Milima ya Usamabara Mashariki. Safu ya Mashariki ya Milima ya Usambara imeorodheshwa kama kituo cha kimataifa cha bayoanuwai ya mimea na inajivunia kuwa ya pili kwa kuwa na aina nyingi za mimea katika bara la Afrika. Pia ilitangazwa na UNESCO kuwa Hifadhi ya Binadamu na Viumbe hai, mwaka 2000. Hifadhi hii ya viumbe hai yenye eneo la takribani hekta 83,600 inajumuisha misitu ya mvua na ardhi ya nyasi na miti ya uwanda wa chini. Ina sifa ya kuwa na mimea mingi iliyo katika hatari ya kutoweka (ikiwemo mimea mingi ya madawa) na ni makazi ya zaidi ya aina kumi na tatu za ndege wasiopatikana mahali pengine. Pia misitu hii mikuu hutoa maji kwa wakazi zaidi ya 300,000 katika mji wa Tanga, na wenyeji wa milimani wanategemea misitu hii kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaisha.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/186
dc.language.isootheren_US
dc.publisherEquator Initiative: Environment and Energy Group - United Nations Development Programme - UNDPen_US
dc.relation.ispartofseriesEquator Initiative;
dc.subjectMisituen_US
dc.subjectAmanien_US
dc.subjectHifadhien_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectTangaen_US
dc.titleHifadhi ya Asili ya Amani Tanzania: Miradi ya Equator Wanavijiji na Maendeleo Himili ya Jamiien_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Hifadhiyaasiliyaamani.pdf
Size:
2.35 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: