Mkulima Mbunifu, Jarida la Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Toleo 112
Loading...
Date
2022-01
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Biovision
Abstract
Toleo hili lina makala kuhusiana na Kanuni za kilimo hai na mazingira, Matumizi bora ya ardhi - Ekari moja ya ardhi iliyopangiliwa huimarisha uchumi wa familia, Uchafu husababisha magonjwa ya ngozi kwa mifugo, Matumizi sahihi ya mbolea ya samadi itokanayo na kinyesi cha Popo, Ni muhimu kuwa na mzani katika ufugaji wa nguruwe, Lishe bora husaidia ukuaji wa mtoto na makala ya Kilimo hai kimenifungua macho na kunionyesha fursa za kilimo.
Description
Keywords
Kilimo hai, Mazingira, Ardhi, Matumizi bora, Ufugaji, Samadi, Popo, mbolea, Nguruwe, Lishe, Watoto