Tabia za ukuaji wa nyasi aina ya Brachiaria katika ukanda wa juu wa nyada za kusini mwa Tanzania (Rungwe).

Loading...
Thumbnail Image

Date

2021

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Sokoine University of Agriculture

Abstract

Ufugaji nchini Tanzania unakabiliwa na uhaba wa malisho na hivyo kusababisha kushuka kwa uzalishaji wa maziwa. Tafiti zilizotangulia zinaonesha kuwa uzalishaji kwa sasa ni kati ya lita 4 hadi 8 badala ya lita 15 kwa ng’ombe kwa siku (Mtengeti na wengine 2018).

Description

Keywords

Brachiaria, Nyasi, Nyada za juu kusini, Tanzania

Citation

Collections