Ijue sheria ya ardhi na taratibu zinazohusika kupata, kumiliki na kuuza ardhi vijijini na mjini, Sheria Katika Lugha Rahisi
Loading...
Date
2015-06
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Chama Cha Wanasheria Tanzania Bara
Abstract
Chama Cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society) ni chama kilichoanziahwa na Sheria ya Bunge ya 1954 Sura Na.307. Kwa mujibu wa sheria hiyo, Chama kinawajibu wa kuisaidia serikali katik amasuala yahusuyo sheria na pia kuieleimisha jamii kisheria katika kupata haki zao za msingi.
Katika kutimiza jukumu lake kwa wanajamii Cham Cha Sheria Tnaganyika kimeeandaa kijarida hiki cha sheria katika lugha Rahisi kiitwacho “IJUE SHERIA YA ARDHI NA TARATIBU ZINAZOHUSIKA KUPATA, KUMILIKI NA KUUZA ARDHI VIJIJINI NA MJINI’’.
Description
Keywords
Ardhi, Sheria, Tanzania, Vijiji