Upungufu wa madin ya joto mwilini

dc.contributor.authorKimboka, Dr. Sabas
dc.date.accessioned2022-04-25T05:42:53Z
dc.date.available2022-04-25T05:42:53Z
dc.date.issued1994-08-13
dc.description.abstractUpungufu waa madini ya joto mwilini ni tatizo kubwa la kiafya hapa Tanzania. Idadi ya watu wanaoathirika inakadiriwa kuwa milioni 5.6 au asilimia 25 ya watu wote. Madini ya joto hupatikana ardhini na huchukuliwa na aina zote za viumbe (mimea, wanyama) na maji, vinavyopatikana katika eneo hilo. Kupitia katika vyakufa madini hayo huingia kwenye mwili wa binadamu. Kutokana na mlolongo huo iwapo ardhi ya eneo fulani ina upungufu wa madini ya joto binadamu nao kupungukiwa na hatimaye kupatwa na madhara. Sababu za upungufu wa madini ya joto ni zaidi ya moja, lakini kubwa na ya muhimu niile ya kijiografia. Sehemu za miinuko, kwa miaka mingi tangu kuumbwa kwa dunia, zimepoteza madini ya joto ambayo huchukuliwa na maji (mvua, mito, mafuriko n.k.) na kupelekwa nyanda za nchini yaani bondeni, baharini na kwenye maziwa. Nd'iyo maana tatizo ni kubwa sana katika mikoa yenye miinuko na siyo katika ukanda wa pwani.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/647
dc.language.isootheren_US
dc.publisherShirika la Chakula na Lishe Tanzaniaen_US
dc.subjectMadini ya Jotoen_US
dc.subjectUpungufu wa madinien_US
dc.titleUpungufu wa madin ya joto mwilinien_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
CATHIE0001.pdf
Size:
11.57 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections