Fahamu Umuhimu Wa Ndege Kama Kiashiria Cha Hali Ya Mifumo Ya Ikologia Katika Maeneo Mbali Mbali

dc.contributor.authorMrosso, Hillary Thomas
dc.date.accessioned2023-11-30T09:33:09Z
dc.date.available2023-11-30T09:33:09Z
dc.date.issued2021-07-08
dc.description.abstractKiashiria ni alama ambayo inatoa taarifa au tahadhari juu jambo fulani zuri au baya na kukufanya uweze kuchukua hatua mapema. Katika uhifadhi au sayansi ya wanyamapori kiashiria ni biolojia ya viumbe ambayo hutumia kuwepo au kutokuwepo kwao katika ikolojia au mazingira Fulani kama kipimo cha afya, ubora au mabadiliko. Wanyama jamii ya amphibia na reptilia wanaweza kutumika kupima mabadiliko ya hali ya hewa kama , ukame, uchafuzi wa mazingira na kuharibika au kusitawi kwa ikolojia, nk.en_US
dc.identifier.citationhttps://wildlifetanzania.homeen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/773
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine university of agricultureen_US
dc.subjectIkologiaen_US
dc.subjectNdegeen_US
dc.subjectHali Ya Mifumoen_US
dc.subjectKiashiriaen_US
dc.titleFahamu Umuhimu Wa Ndege Kama Kiashiria Cha Hali Ya Mifumo Ya Ikologia Katika Maeneo Mbali Mbalien_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
.~lock.Ndege katika Ikolojia.doc#
Size:
96 B
Format:
Unknown data format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections