Athari za mabadiliko ya Tabianchi kwa uchumi wa Zanzibar: Muhtasari wa Ripoti ya mwisho 2012

dc.date.accessioned2018-06-27T07:56:40Z
dc.date.available2018-06-27T07:56:40Z
dc.date.issued2012
dc.description.abstractUtafiti huu wa athari za Mabadiliko ya Tabianchi kwa uchumi Zanzibar umetoa tathmini ya athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi kwa visiwa hivi,njia muhimu za kuweza kukabiliana nazo na fursa ya kupunguza ongezeko la hewa mkaa.Utafiti huu umegundua matokeo muhimu yanayofafanuliwa kama ifuatavyo hapa chini. Uchumi wa Zanzibar unategemea sana tabianchi na sehemu kubwa ya Pato la Taifa, ajira na maisha yanahusiana na shughuli zinazotokana na tabianchi (za pwani, kilimo na utalii). Tabianchi ya Zanzibar imebadilika katika miongo ya hivi karibuni.Tumeshuhudia ongezeko la joto, mvua zisizotabirika,upepo mkali na bahari kupanda juu.Aidha, pia kuna ongezeko la matukio mengi makubwa ( tafauti ya tabianchi).Jambo hili la mwisho limesababisha ukame na mafuriko ambayo yameleta gharama kubwa za kiuchumi kwa Pato la Taifa. Matukio ya namna hii yanaonekana kuongezeka. Aidha, ni wazi kuwa Zanzibar bado haijaweza kukabiliana ipasvyo na tabianchi iliopo na kuna haja ya kuchukuwa hatua za haraka ambazo zinaweza kuleta faida kubwa za kiuchumi katika kushughulikia kasoro za kukabiliana na hali iliopo.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/208
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSerikali ya Mapinduzi Zanzibar - SMZen_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectTabianchien_US
dc.subjectZanzibaren_US
dc.subjectUchumien_US
dc.titleAthari za mabadiliko ya Tabianchi kwa uchumi wa Zanzibar: Muhtasari wa Ripoti ya mwisho 2012en_US
dc.typeTechnical Reporten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Atharizamabadilikoyatabianchikwauchumiwa ZNZ.pdf
Size:
1.28 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: