Faida 20 Mwilini za kula Bamia
Loading...
Date
2024-10-03
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Global
Abstract
JAPOKUWA bamia huchukuliwa na wengi kuwa ni chakula rahisi kinachotumiwa zaidi na kundi la watu wenye uchumi wa chini na kati, ukweli kwamba aina hiyo ya mboga ina maajabu ya aina yake mwilini.
Walaji wa bamia hunufaika kwa kupata utitiri wa viinilishe vilivyomo kwenye zao hilo, ambavyo humpatia mlaji faida za kiafya takribani 20
Description
Keywords
Bamia, Faida za bamia
Citation
https://globalpublishers.co.tz/faida-20-mwilini-za-kula-bamia/