Nyama bora na salama
Loading...
Date
2016-04
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Abstract
Nyama bora ni ile iliyo laini, yenye unyevunyevu,
yenye wastani wa kiasi cha mafuta yaliyochangan-
yika katika minofu na yenye rihi ya kuvutia wakati
wa kupika. Nyama hii ina rangi nyekundu angavu,
misuli yake haijakaza na ina uwiano mkubwa kati
nyama na mifupa (nyama ni nyingi kuliko mifupa).
Nyama salama ni ile isiyokuwa na mabaki ya dawa
zilizotumika kutibu mifugo kabla ya kuchinjwa,
iliyochinjwa na kusafirishwa kwa kuzingatia kanuni
za usafi.
Description
Keywords
Nyama bora, Mifugo