Ufugaji wa kambale kitaalamu II
Loading...
Date
2018-05
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kilimo Tanzania Blog
Abstract
Katika toleo liliotangulia, tulizungumzia kuhusu utayarishaji wa mabwawa na
matangi ya kufugia kambare, muda na kiasi cha mbolea na chokaa kinachohitajika kuongezwa
kabla ya kuingiza samaki, uchaguzi na usafirishaji wa vifaranga vya kambare. Katika toleo hili
tunamalizia kwa kuangalia mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuingiza vifaranga hivyo
kwenye bwawa.
Description
Keywords
Kambale, Samaki, Mabwawa