Shughuli za kimaisha na thamani mbalimbali za bioanuwai katika mandhari ya Usambara Mashariki

dc.date.accessioned2019-02-19T07:05:47Z
dc.date.available2019-02-19T07:05:47Z
dc.date.issued2010
dc.description.abstractKuna mawazo ya kina yanayokubalika kwamba usimamizi shirikishi utawezekana tu pale mawazo na vipaumbele vya jamii husika yatahusishwa katika mipango ya matumizi bora ya ardhi kama hifadhi na uangalizi unafanyika kwa makini. Hii ni mahususi hasa kwa hifadhi ya bioanuwai kwenye maeneo ya vijiji yaliyo nje ya maeneo yaliyohifadhiwa lakini yana misitu na miti ya hapa na pale. Maeneo haya yanahitaji utafiti wa kina zaidi. CIFOR na ICRAF walikutana 2006 na kufanya ubia, ambao lengo ni kufanya utafiti kuhusu matumizi endelevu ya maliasili, Uhifadhi wa bioanuwai na kuhakikisha kila jamii inanufaika sawa na rasilimali hizi. Shughuli za utafiti wa kimaendeleo zilifanyika kwenye maeneo ya mandhari yenye matumizi ya ardhi na viumbe aina mbalimbali (Landscape mosaics) ambazo zimelenga aina ya misitu, kilimo na shughuli nyingine za kimaisha. Mradi umechangia kuboresha shughuli za kimaisha za jamii za vijijini na uhifadhi wa bioanuwai. Mradi huu umechambua majumuisho ya shughuli za kimaisha za watu wa vijijini ambao wanaishi kwenye eneo la mradi (land scape mosaics) kupitia mfumo endelevu wa shughuli za kimaisha.en_US
dc.description.sponsorshipShirika la ushirikiano na Maendeleo la Uswiss (Swiss Agency for Development and Cooperation) (SDC)en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/437
dc.language.isootheren_US
dc.publisherShirika la kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania - TFCGen_US
dc.subjectBioanuwaien_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectUsambaraen_US
dc.subjectMisituen_US
dc.titleShughuli za kimaisha na thamani mbalimbali za bioanuwai katika mandhari ya Usambara Masharikien_US
dc.title.alternativeLandscape Mosaics Project 2008 - 2009en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
TFCG_Usambara-Mashariki_Booklet-Final.pdf
Size:
954.24 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections