Uboreshaji Lishe na Afya Kupitia Mikakati Endelevu Ya Kilimo: Mwongozo wa Kitaalam 02

Loading...
Thumbnail Image

Date

2010

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Healthnet TPO

Abstract

Utoaji wa makala hii ni sehemu ya mradi wa ushirikiano baina ya CIALCA na MtandaoAfya (HealthNet) TPO ujulikanayo kama “destuli endelevu za kilimo na afya kwa uimalishaji lishe na afya kwa jamii ndogondogo nchini Burundi (upande wa afya Kanda ya Gitera) na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo- DR Congo (upande wa afya Kanda ya Butembo). Makala hii imekusudiwa kutumika na wataalam kilimo, wachumi wa masuala ya nyumabani, wataalam lishe, na watumishi wa afya katika kuwajengea uwezo wawezeshaji katika jamii husika (community own resource persons) (CORPs). Matarajio kwa ujumla ni kuimalisha kiwango cha lishe miongoni mwa wanajamii kupitia destuli sahihi za ulaji na mikakati endelevu ya kilimo. Maudhui yaliyomo katika makala hii yalichambuliwa kufuatia mapungufu yaliyoonekana katika ngazi ya jamii kupitia mahojiano ya vikundi na mapitio ya kaya. Mwongozo huu kwanza unaelezea mlolongo unaojumuisha kilimo, lishe na afya. Halafu, unatoa elimu ya msingi ya lishe juu ya aina za virutubishi na vyanzo vyake katika maeneo husika.

Description

Keywords

Afya, Kilimo, Lishe

Citation

Collections