Kitabu cha mafunzo kwa wafanyakazi wa afya ya wanyama

dc.contributor.authorInternational Livestock Research Institute
dc.date.accessioned2024-09-02T10:18:55Z
dc.date.available2024-09-02T10:18:55Z
dc.date.issued2018-07
dc.descriptionJaridaen_US
dc.description.abstractSungura na dende huitwa pia mara nyingi mafugo ndogondogo (mini-élevage). Kundi hili pia lina ndani na nyama zingine zinazo kula majani kama vile « Agoutis ». Sungura na dende zinakula majani, matunda na mbegu. Hizo ni nyama muhimu kwa malisho bora ya binadamu kwa watu wenyi pato ndogo wanaokumbwa na shida za udongo katika inchi nyingi duniani pote, hasa Amerika ya Kusini. Sababu kuu zinazo tuma sungura na dende za chaguliwa kama wanyama wakutowa nyama kwa matumizi ya jamaa na kwa soko ni: • Wao wanatowa kiasi kikubwa cha nyama yenyi onjo bora, tamu, safi na yenye malisho bora iliyo na proteini nyingi (hadi 21 %), yenyi kalori (ya kupana nguvu) chini, mafuta kidogo hasa ile mafuta mabaya yano itwa 3cholestérol » na chunvi ndogo. • Tofauti na wanyama wakubwa, kama vile nguruwe na mbuzi, sungura na dende zinaweza kutumiwa kwa kukuliwa limoja ndani ya jamaa bila kuyiweka siku nyingi ijapokuwa baridi ni shida. • Sungura na dende hujizidisha haraka. Ikiwa malisho yazo na matunzo ni bora, mufugaji ataweza anza ufogo na dike mbili (2) na dume moja (1) na ataweza eneza sungura makumi tano (50) ao zaidi ku mwaka. Hata wakati kuna chakula ya majani tu, dike tatu (3) na dume moja (1) wanaweza kutoa kilo 2 (2 Kg) cha nyama kwa juma na kuongeza chakula cha familia. Kwa upande mwingine, dike 50 hadi 150 hufanya kampuni (entreprise) kubwa ambayo hutoa kazi ku watu wengine na kuongeza pato ya zaidi. • Garama za chakula ni ndogo saana kwa sababu sungura na dende zinaweza kulishwa na majani mbalimbali, na kazalika. Sungura na dende zina tumbo sawa yenyi itaweza tumika sawa ngombe, farasi na tembo kuhusu chakula ya majani. • Sungura na dende zinatowa mboleo bora ambayo una vifaa mingi kuhusu malisho ya mimea hasa ma mbogamboga. Pia, mboleo ya sungura na dende ina proteini mingi, inaweza pia kukaushwa na kuongezwa ndani ya chakula cha wengine wa nyama sawa vile nguruwe, kuku, samaki na kazalika. • Sungura na dende ni rahisi kufuga, hata katika shamba ndogo au ndani za mijini. Nyumba za sungura na dende hazichukuwe nafasi kubwa na kwepesi kuzisafisha (sungura ni safi zaidi, kimya, dende kwa upande wake ni mchezaji mdogo). • Ngozi za sungura zina uzishwa. Kwa vile zinaweza tengeneza kofia, viato (pantouffles), na kazalika. Kwa kuendesha mradi mupya huyu wa ufugo ndogondogo ndani za jamaa inaitajika kuchunguza na kujuwa upendeleo ya wenyi watakao husika ila masuali za kiuchumi ni za maana sana. Jibu kuhusu swali la aina za wanyama wakufuga itazungumuzwa badaye kufwatana mambo itakayo zungumuzwa hapo chini. Ila ni muzuri kujuwa mbele kama siyo vema kufuga sungura dende fasi moja kwa sababu zina maitaji mbalimbali. Kampuni ya wanyama kutoka Ungereza inapendekeza: "Hatuna kupendekeza kuweka sungura na dende kwa sababu zina maitaji tafauti (kwa mfano chakula na nafasi). Sungura zinaweza kutisha dende, ambazo zinaweza kuzizuia ikiwa haziwezi kukimbia. Kuna pia vidudu sawa Bordetella bronchiseptica, inayopatikana katika sungura bila kuonyesha tatizo fulani ila itaweza leta shida za magonjwa za kifuwa/shida za kupumua kwa dende.en_US
dc.description.sponsorshipUSAID, FOOD FOR THE HUNGRYen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/908
dc.language.isootheren_US
dc.publisherInternational Livestock Research Institute untranslateden_US
dc.subjectwafanyakazien_US
dc.subjectafya ya wanyamaen_US
dc.subjectUfugo wa sunguraen_US
dc.subjectdendeen_US
dc.titleKitabu cha mafunzo kwa wafanyakazi wa afya ya wanyamaen_US
dc.title.alternative: Ufugo wa sungura na dende kwa kutowa nyama ndani ya jamii ndogo inchini ya Kidemokrasia ya Congoen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
08:02:20224.pdf
Size:
971.31 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections