Mabadiliko ya hali ya hewa Oktoba - Disemba 2026
Date
2026-08-28
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA)
Abstract
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa mwelekeo na taarifa rasmi ya msimu wa mvua za Vuli (Oktoba hadi Desemba) 2026, ikionyesha kuwepo kwa mfumo wa hali ya hewa wa El NiƱo yenye nguvu kubwa.Wananchi washauriwa namna ya kuandaa mashamba, mazao ya kuzingatia na mbegu gani zitumike
Description
Mabadiliko ya hali ya hewa Tanzania Oktoba - Disemba 2026
Keywords
El Nino
Citation
https://ww.meteo.go.tz.