Pesti ya nyanya

dc.contributor.authorTARP II-SUA Project
dc.date.accessioned2024-10-08T07:49:22Z
dc.date.available2024-10-08T07:49:22Z
dc.date.issued2003
dc.description.abstractNyanya ni moja ya mazao ya mbogamboga muhimu Tanzania hususan katika wilaya ya Muheza. Zao la nyanya humwongezea mkulima kipato na kuboresha lishe ya mlaji. Pamoja na faida zake hizi. zao la nyanya ni la msimu na linakabiliwa na matatizo mcngi likiwemo la kuharibika haraka mara tu baada ya kuvunwa. llali hii pia humlazimisha mkulima auze nyanya zake haraka na kwa bei ya chini ambayo humpunguzia kipato. Wakulima wa Muheza kama walivyo wakulima wa sehemu nyingine Tanzania hawasindiki nyanya zao kwa sababu hawana ujuzi huo. Kijitabu hiki kimetayarishwa ili kumsaidia mkulima au mtu yeyote mwingine kusindika pesti ya nyanya na kuhifadhi katika chupa kwa ajili ya matumizi ya baadaye.en_US
dc.identifier.isbn9987-650-73-7
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/933
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTARP-Suaen_US
dc.relation.ispartofseriesToleo namba TS2-62;
dc.subjectNyanyaen_US
dc.subjectKanunien_US
dc.subjectUsindikajien_US
dc.titlePesti ya nyanyaen_US
dc.title.alternativeKanuni za usindikajien_US
dc.typeLearning Objecten_US
dc.typeImageen_US
dc.typeImage, 3-Den_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Pesti ya nyanya.pdf
Size:
1.25 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections