Mwongozo wa Kilimo Kinachohimili Mabadiliko ya Tabianchi: Mwitikio wa Tanzania katika Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi, Upungufu wa Chakula na Lishe Duni
Loading...
Date
2017
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
FAO
Abstract
Mwongozo wa Kilimo Kinachohimili Mabadiliko ya Tabianchi umeandaliwa kutokana na nyaraka zinaoonyesha dhamira ya Serikali ya Tanzania za kufanya sekta ya kilimo iweze kuhimili mabadiliko ya tabianchi hadi kufikia mwaka 2030.
Description
Keywords
Kilimo, Tanzania, Tabianchi, Mazingira, Hali ya Hewa, Upungufu wa chakula