Njia bora za usimamizi wa mgawango wa mapato na faida mbalimbali zitokanazo na MKUHUMI Tanzania
Loading...
Date
2014-08
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Climate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme - CCIAM
Abstract
MKUHUMI ni mradi ulioibuliwa na Umoja wa Mataifa kwa madhumuni ya kuthibiti ukataji wa miti ili kusadia kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi. Ili miisitu iweze kukaa bila ya kukatwa inabidi baadhi ya watu hasa maeneo ya vijijini, wapunguze matumizi ya nishati ya kuni na mkaa pamoja na matumizi ya mbao. Kitabu kinaelezea jinsi ya utafiti ulivyofanya na jinsi ya malipo kwa wale watakaoshiriki katika MKUHUMI.
Description
Keywords
Mkuhumi, Hewa ukaa, Mazingira, Hali ya hewa, Misitu, Tabianchi