Jarida la Umasikini na Mazingira - Toleo Na. 6 Jan - June 2009

dc.date.accessioned2019-02-11T08:05:44Z
dc.date.available2019-02-11T08:05:44Z
dc.date.issued2009
dc.description.abstractJarida hili linatolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR), Idara ya Mazingira kwa ufadhili wa Mradi wa Umaskini na Mazingira kwa lengo la kutoa elimu na kujenga uelewa wa jamii na wadau mbalimbali kuhusu uhusiano uliopo kati ya umaskini na mazingira. Taarifa na makala zilizochapishwa katika jarida hili ni: Juhudi za Kuondoa Umaskini kwa wakazi wa Jiji la Dar zitabaki kuwa Ndoto Kama Uchafuzi wa Mazingira hautadhibitiwa!!! • Katibu Mkuu Atembelea Mbeya na Kupongeza Jitihada za Utunzaji wa Mazingira; • Kupunguza Gesijoto Kupitia Kudhibiti Ukataji Miti Na Uharibifu Wa Misitu Katika Nchi Zinazoendelea; • Utunzaji wa Mazingira Wasaidia Vijana Kujitegemea; • Tuzo ya Rais ya Uongozi na Ubora wa Hifadhi ya Mazingira katika Uchimbaji Madini kuchangia Juhudi za uchimbaji endelevu Tanzania;en_US
dc.identifier.issn0821-6528
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/401
dc.language.isootheren_US
dc.publisherOfisi ya Makamu wa Rais (OMR), Idara ya Mazingira kwa ufadhili wa Mradi wa Umaskini na Mazingiraen_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectUmasikinien_US
dc.titleJarida la Umasikini na Mazingira - Toleo Na. 6 Jan - June 2009en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
TZ-mazingira&umaskini-Toleo6-Swa.pdf
Size:
643.69 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: