upandaji wa migomba ya kisasa.

dc.contributor.authorSUA
dc.date.accessioned2023-08-25T10:33:35Z
dc.date.available2023-08-25T10:33:35Z
dc.date.issued2023-03-21
dc.description.abstractHapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo kulifanya muhimu, kufuatia mazao ya mahindi, mpunga, mtama, muhogo,viazi na mazao ya jamii ya kunde kama vile maharage. Zao la ndizi linaweza kuwa moja kati ya mazao ya biashara iwapo litazalishwa kwa kufuata kanuni bora za uzalishaji wa zao hilo, ikwa ni pamoja na kupanda aina bora ya migomba inayozaa ndizi zinazotambulika katika masoko ya kimataifa.en_US
dc.description.sponsorshipSUAen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/716
dc.subjectupandaji wa migomba, zao la ndizi, ndizien_US
dc.titleupandaji wa migomba ya kisasa.en_US
dc.title.alternativezao la ndizien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Kilimo_bora_cha_Migomba.pdf
Size:
1.07 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
main article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections