Mkulima mbunifu Toleo la 7, 2012
Loading...
Date
2012-07
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Biovision
Abstract
Jarida hili la Mkulima Mbunifu linalenga zaidi kutoa elimu sahihi kwa mkulima juu ya shughuli zao mbalimbali katika toleo hili kuna makala juu ya: Kuboresha ufugaji wa kuku; Teknolojia rahisi inayoboresha uzalishaji; Jumuisha miti na vichaka kwenye shamba; Anza mapema ili kuwa na mitamba yenye afya; Vitunguu, kiungo cha chakula chenye faida kwa mkulima - Wadudu wanaoshambulia vitunguu - Jinsi ya kufaidika na bei nzuri ya zao la kitunguu; Namna ya kuboresha ufugaji wa kuku; Karoti inahitaji palizi ya mara kwa mara; Usitandaze mbolea mbichi (samadi) shambani
Description
Keywords
Upandaji wa miti, Utunzaji wa mitamba, mbolea mbichi