Mitazamo na mienendo ya uwezeshaji wakulima Tanzania.

dc.contributor.authorMwaseba, Dismas L .
dc.contributor.authorMattee, Amon Z.
dc.date.accessioned2022-04-20T11:13:21Z
dc.date.available2022-04-20T11:13:21Z
dc.date.issued2010-05-19
dc.description.abstractChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeteke1eza tafiti zilizofadhiliwa na Serikali ya Norway kupitia shirika 1ao la NORAD kuanzia na TAN 90, TAN 20 na TARP - SUA, FOCAL na mwishowe PANTIL. Mradi wa PANTIL una lengo la kuboresha maisha ya watu waishio vijijini kupitia mafunzo kwa vitendo, utafiti, na ushauri. Mradi pia unalenga katika kujenga misingi imara ya utafiti na ushauri kilimo na maliasili inayokidhi mahitaji ya jamii za wakulima na kutoa fursa mpya kwao. Aidha, mradi unatilia mkazo, mbinu fungamanishi ya nyanja anuai na maisha endelevu itakayosaidia walengwa kunufaika na huduma zaidi ya tekinolojia ya kilimo na ufugaji bora.en_US
dc.identifier.isbn97 8 998 7 64 0 57
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/640
dc.language.isootheren_US
dc.publisherProgram u ya PANTIL Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kurugenzi ya Utafiti na Uzamilien_US
dc.subjectWakulimaen_US
dc.subjectUwezeshaji wakulimaen_US
dc.titleMitazamo na mienendo ya uwezeshaji wakulima Tanzania.en_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
003.pdf
Size:
16.75 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: