Kilimo cha vitunguu Saumu - Garlic
Loading...
Date
2017
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Ufugaji-TZ Blog
Abstract
Vitunguu twaumu vinahimili aina nyingi za udongo, ila vinastawi zaidi katika udongo usiotuamisha
maji kabisa na wenye mbolea asili, kama mbolea si ya kutosha kwenye udongo, tumia samadi
iliyokwisha oza vizuri usitoe samadi bandani na kuipeleka shambani moja kwa moja kwenye
shamba la vitunguu thwaumu, labda kama utaliacha shamba bila kulimwa kwa zaidi ya miezi 6, pia
unaweza kutumia mbolea za viwandani kama ammonium nitrate, ammonium sulphate, urea n.k
wakati wa kupanda na kila baada ya wiki 4 – 6 mara mbili zaidi
Description
Keywords
Vitungu saumu, Garlic, Vitunguu