Mkulima Mbunifu, Jarida la Kilimo Endelevu Afrika Mashariki Toleo 111
Loading...
Date
2021-12
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Biovision
Abstract
Jarida la wakulima ambalo linatoa makala mbalimbali za kusaidiwa wakulima toleo hili lina makala juu ya ulaji wa matunda, kirutubisho cha EMAS, Malisho ya nguruwe, Uoteshaji wa majani ya malisho kwa mifugo, Ufugaji wa nyuki, Umuhimu wa kuhifadhi ardhi na utengenezaji na usindikaji wa maziwa ili kupata jibini.
Description
Keywords
Matunda, Lishe, Effective Micro Organisms Active Solution, EMAS, Nguruwe, Malisho, Majani, Mifugo, Nyuki, Ardhi, Hifadhi, Maziwa, Jibini, Usindikaji