Taasisi ya utafiti na utetezi wa haki za ardhi
Loading...
Date
2011-01-06
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
HAKIARDHI
Abstract
Mfumo wa milki ya ardhi nchini Tanzania umefanyiwa maboresho makubwa kuanzia miaka ya tisini kwa kutunga sera ya ardhi ya taifa ya mwaka 1995 iliyofuatiwa na sheria mpya za ardhi namba 4 na sheria ya ardhi ya vijiji namba 5 zote 1999.
Description
Keywords
Milki ya ardhi