Uchakataji Ngozi Kwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingira

dc.contributor.authorKok, Jaap
dc.date.accessioned2023-11-30T08:23:57Z
dc.date.available2023-11-30T08:23:57Z
dc.date.issued2012-06-22
dc.description.abstractKitabu hiki kimejikita katika mafunzo ya Uchakatajina mtunzikukitwaana kukisambaza kwa kikundi cha watu waliojihusisha katika mpango wa maendeleo ya kijiji huko Msekhocika, Zambia. Kitabu hiki kimelenga watu wenye nia ya kuanzisha uchakatajimdogo wa ngozi. Pia kwawale wanaopata ugumuwa kuanza kwa kutumia ujuzi walioupata kwa kusoma vitabu vingine vya nadharia. Vitabu ambavyo huenda vinaelezea mbinu za juu zaidi za Uchakataji, Mbinu ambazo zinatumika katika viwanda vikubwakama vile mashine, bidhaa za kemikali na uwekezaji mkubwa.Kitabu hiki kimekusudiwa kuwa mwongozo kwa vitendo, kwa wale wanaotakakuchakata ngozi kwa idadi ndogo kuanzia ngozi tanohadi kumi za mbuzi ambazo huweza kupatikana katika machinjio kila wiki.Piakimezingatia upatikanaji wa vifaa, zana na uwekezaji mdogo katika vijiji na maeneo ya jirani. Katika kitabu hiki neno Vitendo litakuwa la muhimu sana kuliko neno la kisayansi. Hata hivyo kitabu kitatoa maelezo ya awalikuhusiana nahatua zinazohusika katika mchakato wa kubadilisha ngozi na kuwa ngozi iliyochakatwa. (Ngozi iliyotayari kutengenezea bidhaa).en_US
dc.identifier.citationhttps://pdf.usaid.goven_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/772
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine university of agricultureen_US
dc.subjectNgozien_US
dc.subjectUchakatajien_US
dc.subjectUtunzaji wa Mazingiraen_US
dc.titleUchakataji Ngozi Kwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingiraen_US
dc.title.alternativeMafunzo Yanayohusu Mbinu na Usimamizi wa Uchakataji Mdogoen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
PA00TRCG.pdf
Size:
2.13 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections